Mawenzi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,251
- 347
Aliyemrithi Dr ndege pale clouds ni bonge la tapeli! Anaitumia clouds kwa manufaa binafsi bila uongozi wa clouds kujua! Si unajua swaga za matapeli? Shame on Dr maro! Tamaa ya pesa na utajiri wa haraka haraka vimemfanya aisaliti taaluma yake ya u Medical Dr! Dr Ndege alikuwa mwadilifu, Dr Isaac!