Sebastian Ndege ni mtoto wa Casmir Bigacho Ndege Moja ya Mawakala wa bima wa mwanzo kabla na baada ya Azimio la Arusha.
Alianza na uwakala akiwa Mwanza na badaye Dar es Salaam kipindi hicho ikiwa Ndege Insurance Agency na badaye Ndege Insurance Brokers.
Dr Sebastian Ndege kitaaluma ni Tabibu (Doctor of Medicine) alihitimu Kati ya 2003/2004 Chuo Cha Muhimbili na kufanya Internship Mwananyamala.
Baba yao alimwaacha Mama wa kambo alipofariki na ambaye baada ya muda mfupi alikuja kuwa mwandani wa Mzee Wasira.
Dr Sebastian Ndege pamoja na wanafamilia wenzake hawana mahusiano mazuri na Mzee Wasira kwani wanadhani Mzee Wasira alikuwa anamcheat Baba yao pindi akiwa hai maana wawili hao ni marafiki wa karibu.
Dr Ndege kifupi ni mtafutaji pindi anachukua ofisi ya Baba yake ilikuwa Kama a dead Company na yeye akaisimamisha na kamua kusomea Postgraduate ya Risk Management IFM.
Ndege anayehusishwa na NIDA Ni Asteri Ndege Wana undugu lakini sio wa tumbo Moja na hata mtoto wa Mama yao wa kambo Amani Ndege anajishughurish na bima kupitia Kampuni ya Mama yake Ghati Insurance Brokers.
Pamoja na bima, Band, Hotel kuna biashara nyingi Dr Ndege anajishughulisha nazo