Huyo predeshee asije akavua suruali hadharani jamani, mfadhaiko!!! Ila siku hizi mifadhaiko imepungua sana au ni kwa kuwa basi waTz tumeshazoea hvyo vimini, makalio ya kichina na vitopu? Enzi zile heshima ya mavazi ilikuwapo, hivyo akitokea mama na kimini chake au kalio la nguvu basi vidumu chama ndani ya chai maharage ilikuwa ni kawaida.