D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Mbona majibu yametolewaMkuu ingependeza kama ukampata fundi sahihi na mwenye uzoefu kazini ili akupatie idadi sahihi na sio kutegemea mafundi kutoka humu jamii forum hutopata kitu zaidi ya kejeli na dhihaka tu.