Inaonyesha SIPA na DIDIs peke ake tu?Batch2 imetoka ila allocation haionekani lakini ukiona dashboard imebadilika inakupeleka kwenye SIPA na DIDIs ujue tayari usubiri allocation tu.
Kwa sasa mm nimeamua kukaa kimyaa na kuendelea kusubiri umri nikiopangiwa kuishi hapa duniani kama Biblia inavyosema miaka 70 au zaidi,nikiutazamia ulimwengu udumuo,kwa wale waliopata nawatakia kila la kheri huko chuoni waendako,wakifanikiwa wasitusahau kutuungisha uku mitaani sisi watoto wa masikini pale tutakapokuwa tumepambana na kuanzisha vimiladi,Tunamshukuru MUNGU kwa pale tulipofikia[emoji120]Hao ndugu zenu HESLB hawajui wanachokitengeneza nyuma ya pazia, ni zaid ya chuki
Kwamba tusubilie batch ya tatu daaahKwa sasa mm nimeamua kukaa kimyaa na kuendelea kusubiri umri nikiopangiwa kuishi hapa duniani kama Biblia inavyosema miaka 70 au zaidi,nikiutazamia ulimwengu udumuo,kwa wale waliopata nawatakia kila la kheri huko chuoni waendako,wakifanikiwa wasitusahau kutuungisha uku mitaani sisi watoto wa masikini pale tutakapokuwa tumepambana na kuanzisha vimiladi,Tunamshukuru MUNGU kwa pale tulipofikia[emoji120]
Zimebadilika na kuwa hivi kumbeKwamba tusubilie batch ya tatu daaahView attachment 2795568
Yeah angalia kwenye account yakoZimebadilika na kuwa hivi kumbe
[emoji23] dah nacheka kwa huzuni kubwa moyoni mkuuKwa sasa mm nimeamua kukaa kimyaa na kuendelea kusubiri umri nikiopangiwa kuishi hapa duniani kama Biblia inavyosema miaka 70 au zaidi,nikiutazamia ulimwengu udumuo,kwa wale waliopata nawatakia kila la kheri huko chuoni waendako,wakifanikiwa wasitusahau kutuungisha uku mitaani sisi watoto wa masikini pale tutakapokuwa tumepambana na kuanzisha vimiladi,Tunamshukuru MUNGU kwa pale tulipofikia[emoji120]
Kiongozi account yako hawajabadilisha ujumbe[emoji23] dah nacheka kwa huzuni kubwa moyoni mkuu
Wamenipa tyr mkuuKiongozi account yako hawajabadilisha ujumbe
Hongera sana kiongozi ujiandae na chuo tuachie sisi tuendelee na vanga letuWamenipa tyr mkuu
Fungu la kukosa 🥲Hongera sana kiongozi ujiandae na chuo tuachie sisi tuendelee na vanga letu
[emoji23][emoji23][emoji23] hili kweli fungu la kukosaFungu la kukosa 🥲
Hongera kwa kupata mkopo kijana. Kila la heriWamenipa tyr mkuu
From Monday hyoHongera sana kiongozi ujiandae na chuo tuachie sisi tuendelee na vanga letu
Hongera sana..Wamenipa tyr mkuu
Kawekewa leoHongera sana..
Leo au toka jana? Maana naona dogo anapanick kusubiriq batch 3
Nmepewa leo mchana around mida ya saa saba hvHongera sana..
Leo au toka jana? Maana naona dogo anapanick kusubiriq batch 3
Ngoma ngumu bado ujumbe uleule wait fo final resultNmepewa leo mchana around mida ya saa saba hv
Mkuu amini ninachokuambia, hpo mkopo unapata ht mm nilipata hyo statement muda mchache kbl ya kutunukiwa "deni hilo la mbeleni" kwa maana ya loan [emoji3]Ngoma ngumu bado ujumbe uleule wait fo final result