Second batch HESLB 27/10/2023

Second batch HESLB 27/10/2023

Batch2 imetoka ila allocation haionekani lakini ukiona dashboard imebadilika inakupeleka kwenye SIPA na DIDIs ujue tayari usubiri allocation tu.
Inaonyesha SIPA na DIDIs peke ake tu?
 
Hao ndugu zenu HESLB hawajui wanachokitengeneza nyuma ya pazia, ni zaid ya chuki
 
Kwa sasa mm nimeamua kukaa kimyaa na kuendelea kusubiri umri nikiopangiwa kuishi hapa duniani kama Biblia inavyosema miaka 70 au zaidi,nikiutazamia ulimwengu udumuo,kwa wale waliopata nawatakia kila la kheri huko chuoni waendako,wakifanikiwa wasitusahau kutuungisha uku mitaani sisi watoto wa masikini pale tutakapokuwa tumepambana na kuanzisha vimiladi,Tunamshukuru MUNGU kwa pale tulipofikia[emoji120]
 
Kwamba tusubilie batch ya tatu daaah
Screenshot_20231028-113839.jpg
 
Kwa sasa mm nimeamua kukaa kimyaa na kuendelea kusubiri umri nikiopangiwa kuishi hapa duniani kama Biblia inavyosema miaka 70 au zaidi,nikiutazamia ulimwengu udumuo,kwa wale waliopata nawatakia kila la kheri huko chuoni waendako,wakifanikiwa wasitusahau kutuungisha uku mitaani sisi watoto wa masikini pale tutakapokuwa tumepambana na kuanzisha vimiladi,Tunamshukuru MUNGU kwa pale tulipofikia[emoji120]
[emoji23] dah nacheka kwa huzuni kubwa moyoni mkuu
 
Kuna dogo account yake inasoma hivi.. je huyu atapata kweli mkopo?

IMG-20231021-WA0005.jpg
 
Ngoma ngumu bado ujumbe uleule wait fo final result
Mkuu amini ninachokuambia, hpo mkopo unapata ht mm nilipata hyo statement muda mchache kbl ya kutunukiwa "deni hilo la mbeleni" kwa maana ya loan [emoji3]
 
Back
Top Bottom