Second batch UDOM 2014/15

Second batch UDOM 2014/15

they say instute selected university of Dodoma simply ni upo kwenye selection ya university of Dodoma kwa ufahamu wangu tcu kazi Yao nikupeleka majina kulingana na chuo na sifa zako lakini chuo kikikukataa uwez kuwa institute selected utaambiwa ufanye tena selection ya round ya pili na unapokubaliwa ndo unakuwa institute selected lakini kupitia account ya tcu so kama ni institute selected mi nadhani nichuo kimekuafiki kwa sifa zako ndo mana tcu wametoa mfumo wanaouita admission result selection 2014/2015 yani kwa kiswahili tungesema umekuwa umeruhusiwa ktk uchaguz wa vyuo nadhani admission ni kama pass yakuingia chuo ebu angalia iyo maana vizuri sio urembo wa maneno na ukiingiza surname matokeo yanakuja inamaana iyo ni system...au vipi

nimekupata, ila bado kuna utata hata wewe mwenyewe unauona kwenye maelezo. ngoja tusubiri saa moja lijalo mfumo wao utaanza kufanya kazi, tutapeana feedback
 
Guys admission letter zipo tayari kwenye website
 
Hey guys ADMISSION LETTERS TAYARI KWA KUPAKULIWA KWA WALE WA UDOM PLZ
 
U ImageUploadedByJamiiForums1412257651.470833.jpg
 
dah muda unakwenda mkuu sijui itakuwaje?? lakin hapa mbona kunamkakanganyiko kaka hata sielew
 
poa boi ngoja tuchukue na sie??bt kwa wale majina yao hawajayaona itakuwaje na wamechaguliwa hiyo institute niaje??
 
wakuu mbona kwangu inaandika username and password do not match or you do not have an account yet,shida ni ninii hapo?
 
jina limetoka kwenye chuo hucka au,coz watu kadhaa nimewashuhudia wanaandikiwa hvyo,hata mm b4 cjaliona jina batch two ilikuwa hvyo bt baada ya kuliona inakubal admission letter kuidownload jarib kuhakiki jina chuo hucka kwanza brother
 
jina limetoka kwenye chuo hucka au,coz watu kadhaa nimewashuhudia wanaandikiwa hvyo,hata mm b4 cjaliona jina batch two ilikuwa hvyo bt baada ya kuliona inakubal admission letter kuidownload jarib kuhakiki jina chuo hucka kwanza brother

kwene batch 2 coz niliyoomba haipo ila kwa upande wa tcu npo selected,mkuu hapo nifanye nin
 
hapo cwez kuwa na taarifa kamili bt may be watatoa batch three..so ni jambo la kusubir huku ukifuatilia new updates bt pia unaweza kuwapigia cmu coz b4 hawajatoa admission letters walitoa no zao cjui kama bdo zipo brother
 
wadau na wakuu zangu kwa wale ambao hamjaona majina yenu ingien kwenye web ya udom kunamajina yamewekwa yakiwa combined langu nimeliona.......ninajarbu kudownload bt inafika kipind inagoma so fanyen ku preview nikifanikisha nitawaletea wakuu
 
na pia nilitaka uliza kwa wale waliochaguliwa bachelor of education with ict wameishapata admssion letter??
 
Back
Top Bottom