Second Nyali bridge building to start in June

Second Nyali bridge building to start in June

Kama alikua ameishitaki Jamhuri what do you expect?nakwaakili yako ndogo wadhani iyo case Ni ngeni ,iyo case ipo since 1980's

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mnmeshindwa kuitatua miaka zaidi ya 30 kivipi Kama nyinyi sio vilaza?

Hata hivyo mnajulikana kwa kishindwa kulipa madeni inabidi msamehewe. Sasa sijui serikali ya mtukufu Jemedari Pombe Magufuli inangoja wakulima wa Koroshow pia waisamehe ama itawanyang'anya kimabavu?

Hoima Tanga Pipeline imefikia wapi?
SGR kuchukua zaidi ya miaka 15 kukamilika?
 
But honestly, what does GoK do?
Even a 10 km road lazima iwe loan from China?
Afadhali nyinyi dona kantri ambao huwa mnajenga kwa 'hela zenu'. Mishahara ya kuwalipa walimu, madaktari na manesi nayo mnafadhiliwa na mabwana zenu wazungu. Hivyo hivyo kwa vitabu mashuleni na madawa kwenye hospitali, full misaada ya kujaza pengo kwenye bajeti yenu. Hebu linganisha kwanza bajeti za Kenya na Tz kwenye sekta nyeti za elimu na afya alafu ndio uje na porojo zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But honestly, what does GoK do?
Even a 10 km road lazima iwe loan from China? Sent using Jamii Forums mobile app
Ashakum si matusi lakini baadhi yenu huwa ni wapumbavu kupitiliza. Hivi TRA iliokota hela kiasi gani ukilinganisha na KRA mwaka wa 2018/19? Mapato ya GoT yalikuwa ni pesa ngapi mwaka huo huo? GOK iligawa takriban KES 378billion kwa gatuzi za Kenya mwaka jana. Sheria inasema kwamba gatuzi zinafaa zipate mgao wa 35% ya mapato yote ya serikali kuu. Hiyo 378billion ilikuwa 36.46% tu ya mapato yote 'audited' ya GOK mwaka wa 2018/19. Gatuzi nchini Kenya zina majukumu yao ikiwa ni pamoja na kujenga barabara mashinani, ambazo sio za serikali kuu. Wanajenga pia hospitali(sio za wilaya na referal), shule za chekechea n.k, n.k. Porojo na pumba ambazo huwa mnalishwa ni za kilofa sana.
 
Tukipata loan tutajenga nyali BRIDGE
Tukipata tutajenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tukikosa loan hatutajenga nyali BRIDGE ila

Tukipata loan tutajenga lol wakenya mnachosha sana trust me

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukipata loan tutajenga Bagamoyo port ila tusipopata loan tutaendelea na wimbo wetu wa jadi "tutaipiku Kenya hivi karibuni" 😂 😂
 
But honestly, what does GoK do?
Even a 10 km road lazima iwe loan from China?

Sent using Jamii Forums mobile app
GOK invests on infrastructure so it is said to be in business while yours borrows to pay salaries that's a liability na ndio maana mko LDC. Hivyo ndivyo Nchi Kama Venezuela zinaishi kwa kukopa kulipa mishahara ya wafanyikazi.
 
Back
Top Bottom