MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
MK254 nilikuwa nikiilahumu serikali ya Kenya kipindi cha mahuwaji but you a far better. Share this pictures to all Kenyan media. We want the world to know that Tanzania is nolonger safe. Mimi ni ccm but always nitasema ukweli fitina kwangu mwikoView attachment 700564 View attachment 700565 View attachment 700566 View attachment 700567 View attachment 700568
Mamamama maaiiiweee!! Aisei nilikua najiandaa kulala, haya mapicha yamenipotezea uzinginzi, hapana usiyeweke hivi kwenye mitandao, haifai kabisa maana yanachochea, bora ukapata ukweli kwanza nini kilitendeka haswa, aliuawa kwa sababu zipi, usichukue hatua kama hizi bila ukweli.