QUONSIOUS BOY
Member
- May 18, 2014
- 33
- 1
zile sio ndugu second mpaka mwez wa nane[/QUOT
kwa hiyo zile mkuu zinahusiana na nini
HABARI WANA JF nimepata kusoma mtandaoni kwamba uchaguz wa wanafunzi kwenda kidato cha tano 2014 kwa AWAMU YA PILI YAMETOKA
source(www.chatguest.com)
Zishatoka japo kimyakimya. Pitia hapa Mabadiliko ya shule kidato cha tano na orodha mpya waliochaguliwa kidato cha tano | Pmoralg Tanzania
hayo sio ya chaguo la pili ni majina ya waliongezwa baada ya kupatikana nafasi kwa wale waliobadilishiwa shule mbalimbali,chaguo la pili linakuja