Second selection

Second selection

QUONSIOUS BOY

Member
Joined
May 18, 2014
Posts
33
Reaction score
1
HABARI WANA JF nimepata kusoma mtandaoni kwamba uchaguz wa wanafunzi kwenda kidato cha tano 2014 kwa AWAMU YA PILI YAMETOKA
source(www.chatguest.com)
 
hayo sio ya chaguo la pili ni majina ya waliongezwa baada ya kupatikana nafasi kwa wale waliobadilishiwa shule mbalimbali,chaguo la pili linakuja

Keep waiting for that you call "second selection". Wenzako ndo ishatoka hiyo,,, wamebadili jona tu badala ya chaguo la pili wakaita majina ya nyomgeza
 
Back
Top Bottom