Secret admirer; hii ipo jamani?

Secret admirer; hii ipo jamani?

ah JS... is secret lover = virtual one??

Just curios....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
JS haya mambo ya Secret lover acha tu mamii..I had one, when we met kila mmoja alikuwa on fire..khaa! it was a good adventure🙂))

Remember hii??
 
Last edited by a moderator:
JS haya mambo ya Secret lover acha tu mamii..I had one, we we met kila mmoja alikuwa on fire..khaa! it was a good adventure🙂))

Remember hii??

Ok! Hope all went well with you with your secret lover,lol!
 
Last edited by a moderator:
ah JS... is secret lover = virtual one??

Just curios....

Mhhhh! Trying to connect the dots eeh! hahahahah lol! All the best Mkuu🙂🙂
 
bora nijipitie zangu tu hapa maana mimi nikutaka hakuna cha secret love nitakuvaa tu ukinikataa si basi bana.
 
Hv inawezekenaje kumpenda m2 uce mjua wala kumuona hv hapa kuna mapenzi kweli au wizi 2
 
1.wizi tena mkubwa mnoooooooooooooooo
2. inawezekana pia kutokana na mameno anayokuapa huyo usiomuona na jinsi ulivoziruhusu hisia zako kufunguka juu yake
3.hujui kuna watu wana vipaji vya kuongea maneno ukajiona we ni kama malaika ............sasa usiombe ukakutana nao hao mana hata kama huwaoni ila wana maneno yenye sumu kali sana lazima u fall hata kama ww mgumu ka jiwe utaachia tu
 
wacha weee.....

Ajabu iko wapi mbona kuna vipofu wanao na hawajawaona wake zao.
 
Back
Top Bottom