Secret code, secret task

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
221
Reaction score
542
Sometimes ni ngumu kuchora mstari katika matukio kwamba nguvu hii inaishia hapa na nguvu hii inaanzia hapa hadi pale ila matokeo ya kila kitu huwa yanakuwa wazi na kuacha kila mtu akiwaza na kujipa majibu karidi ya tathmini binafsi.

Ni vema kila jambo linalofanyika liwe kwa maslahi kwa taifa. Ni wazi nchi karibia zote zimejengwa kwa nguvu, jasho, damu na sadaka na hakuna kinachofanyika kisiwe na sababu. Mungu yupo na watu pia wapo. Popote mlipo mkalitizame hili maana Tanzania ni yetu sote na maslahi ya wachache yasiamue hatma ya wengi.

1. CK515 🔥
2. CJMW🔥
3. CMLWF🔥
4. CNPWH🔥
5. CRKW🔥
6. CRSRT20🔥
 
🚮
 
🚮
 
Tatizo hamkujua kuwa mpo wachache
 
Naamini ulichokiandika hapa, unakijua wewe mwenyewe.
 
Code zimenyoooka ngoja maSenior waje kwanza kuzidadavua. Kuna wadau wanaona madudu tu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…