"Secret Service" ni watu gani na majukumu yao ni yapi?

"Secret Service" ni watu gani na majukumu yao ni yapi?

Secret service Hawa ni walinzi wa rahis...

Watu wa kawaida ila wana mafunzo ya kumlinda rahis..

Majukumu yao kumlinda rahis...

Wapo we ni mgeni na yale matamasha ambayo rahisi ana hutubia kwani..?

Uwonagi watu wamevaha suti nyeusi na miwani meusi..

Uwonagi watu wamevaa vi utambi utambi masikioni...?

Kama unawaonaga hawo ndo secretary service
Dah, nimecheka sana mkuu sio kwa ubaya lakini 😂😂😂
 
Baada ya tukio la kule U.S kumhusu mzee Trump, naomba kujua juu ya hawa wanaotajwatajwa kwa jina la "Secret Service". Huwa ni watu gani hawa, na majukumu yao ni yapi. Je, hapa kwetu Tanzania, wapo?
NI kitengo cha siri chenye mafunzo ya kijeshi ambacho kinafanya kazi undercovered hata kwenye ndani ya mfumo kwenyewe uenda wanaojua uwepo wao akawa mmoja au wawili tu.

Tofauti ya uko marekani na bongo ni kwamba secrete service wa uko wanashughulika na masuala ya nchi ila huku kwetu wanahusika zaidi na kulinda masilahi binafsi ya wanasiasa na ndio wale "watu wasiojulikana"
 
Baada ya tukio la kule U.S kumhusu mzee Trump, naomba kujua juu ya hawa wanaotajwatajwa kwa jina la "Secret Service". Huwa ni watu gani hawa, na majukumu yao ni yapi. Je, hapa kwetu Tanzania, wapo?
Inajulikana kama United state secret service (USSS) ni federal law enforcement agiencies ipo chini ya homeland security department kwaajiri ya kuwalinda viongozi wa kisiasa, familia zao na viongozi wakubwa wa nchi mbalimbali wanapokuwa ndani ya nchi ya marekan.
 
Back
Top Bottom