"Secret Service" ni watu gani na majukumu yao ni yapi?

Dah, nimecheka sana mkuu sio kwa ubaya lakini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baada ya tukio la kule U.S kumhusu mzee Trump, naomba kujua juu ya hawa wanaotajwatajwa kwa jina la "Secret Service". Huwa ni watu gani hawa, na majukumu yao ni yapi. Je, hapa kwetu Tanzania, wapo?
NI kitengo cha siri chenye mafunzo ya kijeshi ambacho kinafanya kazi undercovered hata kwenye ndani ya mfumo kwenyewe uenda wanaojua uwepo wao akawa mmoja au wawili tu.

Tofauti ya uko marekani na bongo ni kwamba secrete service wa uko wanashughulika na masuala ya nchi ila huku kwetu wanahusika zaidi na kulinda masilahi binafsi ya wanasiasa na ndio wale "watu wasiojulikana"
 
Baada ya tukio la kule U.S kumhusu mzee Trump, naomba kujua juu ya hawa wanaotajwatajwa kwa jina la "Secret Service". Huwa ni watu gani hawa, na majukumu yao ni yapi. Je, hapa kwetu Tanzania, wapo?
Inajulikana kama United state secret service (USSS) ni federal law enforcement agiencies ipo chini ya homeland security department kwaajiri ya kuwalinda viongozi wa kisiasa, familia zao na viongozi wakubwa wa nchi mbalimbali wanapokuwa ndani ya nchi ya marekan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…