Secret state: How the governemnt spies on you!

Secret state: How the governemnt spies on you!

Nimeisoma mkuu..
spying2.jpg
 
Bunge la wenzetu wasauzi wamepitisha 'Secrecy Bill' jana (angalia pdf attachment). Kelele zinaendelea itakuwa 'challenged' kwenye mahakama kuu ya katiba (Constitutional Court) (Chungulia hapa: Secrecy Bill: Black Tuesday 'not the end of the road' - News - Mail & Guardian Online.

Kwenye maswala haya ya siri za serikali na usalama wa taifa na mambo ya sheria zinazohusiana nayo, na 'oversight' ya bunge, n.k nadhani ni mambo muhimu sana kuyaangalia upya, hususani, kwenye huu mchakato wa 'kuupdate' katiba yetu.
 

Attachments

"State intelligence agencies can -- and do -- access citizens' private communications illegally".

Read this article that is in the public domain in SA:
Secret state: How the government spies on you - Investigations - Mail & Guardian Online

Kwa mpendao sheria hii 'attachment' ndio sheria husika huko sauzi inayogusiwa na hii article.

Mwenye sheria za kwetu atuwekee tuchambue tujue njia za kuchukua iwapo mwananchi wakawaida hafanyiwi haki na maofisa watukutu ndani ya vyombo vya usalama! Tunaweza pia kuchambua mapungufu ya sheria tulizonano sasa na kuwapigia kelele wabunge wetu 'on plausible ammendments for future considerations'.
 

Attachments

kwa utaratibu huu kwanini wanapa taabu kuwakamata waharifu na kuwamaliza kabisa?
 
AND Hence ... There is no privacy whenever using any electronic item as means of communication! ...

YOU don't want to be tailed and all its complications? ... don't use any electronic devices ... !

Or Simply Love God with all your Heart and Be a good citizen backed by a cool family governed by strong moral character!!
 
Back
Top Bottom