Secret: Ukweli kuhusu Sadaka ya Kuchinja Wanyama na Kutoa Damu

Noma sana!
 
Mwl. Venus Star Pole kwa majukumu. Naomba kujua napaswa kutoa hii sadaka mara ngap kwa mwaka? Na mahali gani panafaa? Maneno gani ya kusema?
 
Nimeona mikoa ya Dodoma, singida..Tanga pwani na mikoa yenye waislam wengi waislam wanachinja wanyama kila mara, nyama wanaigawa.. nikaja kugundua hii ni I ada kubwa sana ambayo nyuma yake wapo watoa fedha HASA Oman, Umona wa falme za kiarabu, UTURUKI, NA matajiri wengi wa kiarabu. Ibada hii mbali na kuwa ni sadaka Kwa MUNGU au Allah, pia nyama zimenenewa maneno ya kudhoofisha upande wa pili( wakristo) maana walaji ni wakristo HASA wakatoliki. Na Kwa kuwa nyama ni mboga, basi mida ya kiangaz wanyama wengi wanaanguka sana .hiii inamatokeo yafutayo:

1. Imeimarisha uislam..
2.mifugo mingi INAISHA hasa maeneo hayo, na Kwa kuwa Lindi na mtwara ufugaji syo mkubwa
.basi wanyama wengi wanaanguka na kuisha.
3. Matajiri wengi wa kiarabu au wenye asili ya ASIA wanastawi sana. Mfano MO , BAKHRESA,
4. Maeneo mengi imbayo ibada hii inafanyika yanaendelea kuwa fukara na njaaa sana huku magonjwa ya akili na ulevi, uzinzi ukishamiri Kwa Kasi.
5. Rasilimali haiwafaidishi hata hao wanauza wanyama.. mali asili na rasilimali watu haziwasaidiii hataa kidogo, wanaofaidika ni wageni kutoka ASIA
5. NDOA ZINAVUNJIKA SANA.... Mengine I kama vile Dubai kuuziwa bandari, misitu, na omana kupewa KIA, MSAUDIA KUPEWA NGORONGORO.. MO KUMILIKI SIMBA , G SM KUMILIKI YANGA , BAKHRESA KUMILIKI AZAM MIDIA NA TIMU, ROSTAM .... YAAAAAN
 
Dini imejificha kwenye kichaka Cha ujangili na ukatili Kwa viumbe vingi sana duniani. Yaani unaamua kumuua mnyama ambaye Bado anategenewa na watoto (ndama) Kwa sababu ya maandiko ya kale na yaliyotungwa na wanadamu wenye ufinyu wa ufahamu wa mambo ya kidunia. Hovyo kabisa.
 
Akuzingatie mambo yataenda sawa. Kwa kuongezea kiufupi ajitakase mwili na roho.
 
Yote matokeo ya akili ndogo na uzwazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…