Twaps
Member
- May 26, 2011
- 50
- 28
Nahitaji secretary wa kike mwenye ujuzi wa microsoft office programs hasa microsoft word,excel,powerpoint,publisher na internet.
Ofisi ipo maeneo ya sinza mwajiriwa atapewa transport allowance ya tshs 1000 kwa siku hyo ni nje ya makubaliano ya mshahara,muombaji awe na elimu ya kidato cha nne,awe na umri miaka 18-25.tuma email kwenda mdekajj@gmail.com