ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Hali ya wagonjwa si nzuri ndo maana inanibd niwadunge sindano tu. Tangu asubuh nimewatibu wafuatao ZeMarcopolo, C.T.U, Chilisosi na Chris Lukosi. Magonjwa yao yanafanana.

Basi hima chukua vipimo vya Mswati na Bishanga nahisi wanaweza kua na vimelea vya this disease.
Yeye ndio alilianzisha kaweka kisirani baada ya kumchinjia baharini
Mwanaume akimtolea nje mwanamke huwa hajisifii. Wewe rizki kweli wewe mtoto?

Jamani ananitaka kwa nguvu hebu nisaidinieni hivyo vikorokocho alivyovitaja hapo juu kwa Bishanga si ni kama vocha tu

Mke wangu The secretary una akili sana.
Kopi: Arushaone na Judgement...........,,.,msalimieni C.T.U mwambie akabadili nepi alale.

yaani katika mashori wote C.T.U anamng'ang'ania The secretary tu.. inawezekana kweli C.T.U akawa anasema ukweli..?
heee... nafikiria tu kwa sauti mie..
huyu ataniweza sasa ni mihemko mchochomeo inamsumbu huyu namzaa huku nasoma gazeti au naangalia tamthilia asiniletee ushangingi wake.source: gfsonwin