Secretary unaukumbuka huu ujumbe ulionitumia


haah kumbe kuna wazee wa mistari
 
Hallow C.T.U Mamboz
Kama hautajali ukirudi toka Dubai can we meet plizzzz
we ukifika nicheck kwa namba hii +255........
and plizzz niletee OBAGI, na SAMSUNG GALAXY S3

Afu dogo ukikopa hela za watu uwe unalipa na sio unahama jukwaa, hebu fanya rusha kwa tiGO pesa deni la nyuma ninalokudai..
 
afu dogo ukikopa hela za watu uwe unalipa na sio unahama jukwaa, hebu fanya rusha kwa tigo pesa deni la nyuma ninalokudai..


kwani ulinikopesha nyuma???
 
huyu mcheza shoo wa twanga pepeta ana matatizo mwanaume wa ukweli anahonga jet na sio vijisimu.

mwanaume wa ukweli anahonga jet kwa mwanamke wa ukweli sasa swali langu je wewe ni mwanamke wa ukweli??
 
huyu ataniweza sasa ni mihemko mchochomeo inamsumbu huyu namzaa huku nasoma gazeti au naangalia tamthilia asiniletee ushangingi wake.source: gfsonwin

Kuna mtu kani pm kaniambia nikuwekee hii picha
sijui ana maana gani




nilivyofuatilia ni nini nikagundua ni Deodorant
swali langu kwanini mtu anitumie picha ya deodorant halafu kaniambia nikutumie?
bado najiuliza na majibu sipati
 
humu kuna raha ,ukimis siku mbili tu kwisha, hivi ile kampeni...............anti virus inaendelea tu
 
we C.T.U mke wangu The secretary anakuhusu nini? Si utafute wa kwako?
Kopi: Baba V....ntashusha mtu ngiri

Hebu anza kwanza kumuuliza huyo mkeo
huu ujumbe alikuwa ana maana gani?

Hallow C.T.U Mamboz
Kama hautajali ukirudi toka Dubai can we meet plizzzz
we ukifika nicheck kwa namba hii +255........
and plizzz niletee OBAGI, na SAMSUNG GALAXY S3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…