Hebu anza kwanza kumuuliza huyo mkeo
huu ujumbe alikuwa ana maana gani?
Hallow C.T.U Mamboz
Kama hautajali ukirudi toka Dubai can we meet plizzzz
we ukifika nicheck kwa namba hii +255........
and plizzz niletee OBAGI, na SAMSUNG GALAXY S3
sms feki kama ile video ya nanihii wa lile lichama
Achana naye huyu wanaume wengine wamebaki kuning'iniza vifanyio tu lakini functionless kashaharibiwa hana lolote hata kwa ma ant Hamis hauzi pampas hazimwishi kunako.
What! kanikera
Huyo ngiri utamtoa wapi mkuu, mikumi au Serengeti???we C.T.U mke wangu The secretary anakuhusu nini? Si utafute wa kwako?
Kopi: Baba V....ntashusha mtu ngiri