Secretary wa afisa madini Mkoa wa Geita ajirekebishe

Secretary wa afisa madini Mkoa wa Geita ajirekebishe

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Secretary wa Afisa Madini mkoa wa Geita ajirekebishe. Ofisi ya madini Mkoa wa Geita umekuwa kero tena kero kubwa.

Time ya madini imemficha PS au secretary wa afisa madini Mkoa wa Geita na kuruhusu huyu mama kufanyia wateja chochote anachotaka.

1. Hana customer care
2. Bila rushwa hakuhudumii
3. Ana lugha chafu kwà wateja
4. Kama boss wake yupo anakuhudumia bàdala ya boss wake ukimpa chochote.
5. Ana upendeleo kuhudumia wateja.

Ofisi ya madini Mkoa wa Geita ina wateja wengi kutoka wilaya sita ila huduma wanayopewa hailingalini na hadi ya tume ya madini.

Tunaomba Kilio hiki kifike tume ya madini .
 
  • Thanks
Reactions: EEX
"Ajirekebishe" naona tumepata msamiati mpya.😃
 
Back
Top Bottom