Secrets poor people don't know about money

Kuna swala la Kiroho katika kufanikiwa, Tuachane na Makanisa hapa pamoja na misikiti, ila ipo nguvu tofauti ya hayo makanisa, wachache wataelewa nini namaanisha, kuna watu wamezaliwa ila tiyari waling'arishwa kabla hata hawajatoka tumboni mwa mama zao, nyuma ya migongo yetu yapo mambo makubwa ambayo hatuwezi yafanya au kuyajua kwa urahisi, utaambiwa vitu vingi kuhusu muda, self discipline, consistency, commitment ila maswala ya kiroho yapo na yanafanya kazi, sizungumzii mganga hapa wala uchawi, iko nguvu ilishushwa kwa ajili ya sisi wanadamu tujitibu, tujitakase, tujikinge na hatari, nguvu hizo hizo zinatumika kwa Faida na Hasara, hapo ndo utazungumzia wachawi, wanaozitumia kwa hasara, Hivyo ndugu zangu, Mafanikio yanaangalia baraka ulizonazo kutoka huko kwa wazee wako ulikozaliwa, unaweza ukajiona unafanikiwa tu bila kwenda kanisani wala msikitini kumbe ulishawekewa daraja.

"Sio sababu huoni, Basi halipo"

Wengi wetu hatuna uhakika kua tunayoyafanya na kuyahangaikia leo ni sahihi na kama yatakua na manufaa huko mbeleni. Wengi wetu tuko kwenye kujaribu na kubahatisha, na hatuna uhakika mambo yatakua mazuri. Hivyo usijihisi upweke, wasiwasi na uoga peke yako, wengi tu hatujui kesho.
 
T
Very poor English, what did you meant with that sentence above?

In fact your presentation of points were very poor. You need to hone your English command.
This is not English subject....however you are writing the poorest English to talk about the writer?????? Next time write " What did you mean" instead of "what did you meant......"
 
The purpose was to communicate his message it doesn't matter it is very poor or vice versa.

BTW we are not here to hone our English, it has nothing to do with our knowledge
 
Was it necessary to present his ideas in English if he doesn't know the language properly?

I'm pretty sure he is fluent in Swahili, so why on earth didn't he write it in Swahili?

Kama anajifunza Kiingereza basi ni sahihi nimem-correct ili aongeze bidii katika kijifunza.
 
T

This is not English subject....however you are writing the poorest English to talk about the writer?????? Next time write " What did you mean" instead of "what did you meant......"
Mr What , don't be angry when someone corrects you. You should say thank you and move on.

If you take criticism negatively, you'll never learn anything in life.

To tell the truth, your English sucks bro! You need to hone it.
 
Kuna swala la Kiroho katika kufanikiwa, Tuachane na Makanisa hapa pamoja na misikiti, ila ipo nguvu tofauti ya hayo makanisa, wachache wataelewa nini namaanisha, kuna watu wamezaliwa ila tiyari waling'arishwa kabla hata hawajatoka tumboni mwa mama zao, nyuma ya migongo yetu yapo mambo makubwa ambayo hatuwezi yafanya au kuyajua kwa urahisi, utaambiwa vitu vingi kuhusu muda, self discipline, consistency, commitment ila maswala ya kiroho yapo na yanafanya kazi, sizungumzii mganga hapa wala uchawi, iko nguvu ilishushwa kwa ajili ya sisi wanadamu tujitibu, tujitakase, tujikinge na hatari, nguvu hizo hizo zinatumika kwa Faida na Hasara, hapo ndo utazungumzia wachawi, wanaozitumia kwa hasara, Hivyo ndugu zangu, Mafanikio yanaangalia baraka ulizonazo kutoka huko kwa wazee wako ulikozaliwa, unaweza ukajiona unafanikiwa tu bila kwenda kanisani wala msikitini kumbe ulishawekewa daraja.

"Sio sababu huoni, Basi halipo"

Wengi wetu hatuna uhakika kua tunayoyafanya na kuyahangaikia leo ni sahihi na kama yatakua na manufaa huko mbeleni. Wengi wetu tuko kwenye kujaribu na kubahatisha, na hatuna uhakika mambo yatakua mazuri. Hivyo usijihisi upweke, wasiwasi na uoga peke yako, wengi tu hatujui kesho.
Umemaliza, and this is Namba one,
Kama halipo ndio hapo unashangaa,
Unapamban lkn mambo ndio yanazid kukuzomea,
Mwisho wa siku unaishia kujilaum,
Kupoteza, kujidharau na watu kukuhukum bila kufhm,
Haya mambo ya dunia,
Acheni tu,
 
Back
Top Bottom