Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Paskali acha longo longo. Fanyeni uchaguzi huru na wa haki na hutaona yeyote akilalamika.
 
Sasa Hapa Bavicha Wataponda Andiko na Kushangilia anayoyafanya mmarekani..kila wanasahau Timbwili likianzaa halibagua Cha CHA CCM WALA CHADEMA kila mtu atalionja jotoo LA Timbwili Kina Lisu na Kina Zitto watakuwa sehemu salama kabisa na Familia Zao
 

Naunga mkono hoja hii
Tanzania is a Sovereign State, kamwe tusikubali kuingiliwa mambo yetu ya ndani.
Uchaguzi ni mambo ya ndani

P
Paskali uko sahihi, lakini uwanja uwe sawa kwa sababu Tanzania siyo kisiwa na haiwezi kukwepa jicho la wale wanaoitwa "mabeberu"
 
MAYALA KWA KIKEREWE WANJALA. Subiri tumalize kampeni tukifanikiwa kushinda hata kwa goli la mkono jamaa akutafutiepo hata u DC. Unajitahidi sana kutumia jf kutafuta hicho kitu, kaza buti
 
2. Wamarekani wanalazimisha modal yao ya demokrasia iwe ndio standard democratic modal kwa nchi zote, bila kuzingatia Tanzania tuna modal yetu ya demokrasia ambayo ni part of African Democracy, ambayo inaruhusu nchi ya vyama vingi, kufanya uchaguzi wa vyama vingi na chama kimoja kupata ushindi wa 99.9% na uchaguzi ukawa ni wa kidemokrasia, huru na wa haki kama ilivyo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Wao mabeberu hawa wa Marekani hawataki kukubali hilo

Aisee hii ni pumba grade 1 kabisa
 
bavicha tunafikri tutaokolewa na mtu mweupe.
nye nyeee. sijui hata historia hatuisomi.
mim sitoki na familia yangu tunapiga kura tunarudi nyumban
 

Marekani akitaka Kum Libra hata Mrusi anaweza! Sembuse Tanzania? Kuna kitu kinaitwa dignity kaka paschal, hemu kisome!
 
Pascal mbona unaandika kama ujaenda shule ndugu yangu. unajua yaliyotendeka uchaguzi wa mitaa lakini. Unajua CCM wanachofanya sasa hivi kubaki madarakani kwa njia yoyote ile,
 

Nimeishia namba 3. Cramp
 

Hivi ni wewe pascal mayalla ninae kufahamu au mwingine? Umekuwaje siku hizi? Mbona unautweza sana utu wako? Heshima yako na uzuri wa akili yako fikirishi yenye utashi wa kudadavua mambo magumu yasiyo na ngonjera wala hadithi za bunuasi umepeleka wapi? PASCAL MAYALLA yule aliyemuuliza maswali magumu kiongozi yupo wapi? Hivi ni yule ambae Tanzania inamfahamu na kujivunia nae ndie aliyeleta bandiko la serikali za mitaa ccm kushinda kwa asilimia 99.9% hali akijua yaliyofanyika?
Mimi siamini kama ni yule mwenye heshima ambae jamii inamheshimu nadhani ni mwingine na kama ni huyo basi wengi hatupo salama.
 

Yalikuwa maandalizi ya kawe 2020. Ikabuma!
 
Na wakati huo huo viongozi wa CCM walienda na kufanya mikutano kila mahali.Bila kuzuiliwa.
 
Tatizo ni tumbo mkuu.
 
Chadema wana porojo sana subirini muone jinsi wananchi watakavyo waadhibu katika uchaguzi huu.

October 28 CCM itashinda tenaa kwa kishindo.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Paskali unaona tunauwezo wa kujilinda dhidi ya wamarekani wakiamua kitu juu ya Tanzania????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…