Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

What if, baada ya njia zote ikishindikana, wakatumia conspiracy theory fulani kutimiza malengo yao?. Maana baada ya ushindi wa kishindo wa rais Magufuli na CCM, sikumbuki Marekani kumpongeza kwa ushindi, na hata baada ya kifo cha rais Magufuli, Marekani haijatoa pole yoyote, lakini jana baada ya Samia kuapishwa na kuwa rais wa JMT, Makamu rais wa US, kamtumia Salaam za pongezi bila hata pole ya msiba wa mpendwa wetu Magufuli?!.
Yaani tupate msiba, wasitupe pole, tuapishe rais mpya, watupe pongezi tuu bila pole ya msiba!. Hii imekaaje?!.
P
 
Hatari Kubwa Sana
Mabeberu Hawatupendi

Nawaza kijazi na Magufuli case ni sawa kwa nini walinzi wako salama, msigwa yuko salama hana corona, nawaza isije kua walitumia barua rasmi ikasomwa na CS kijazi baadae mzee akaisoma ikawa balaa, kifo hiki sio kawaida, nadhani wanausalama wetu wajitahidi kufanya uchunguzi, maana baada ya ziara ya waziri wa China, tulikwenda ngara tukawa na mwingereza balozi bado maswali ni mengi
 
Wasi Wasi Ndiyo Akili
Ila Ukweli Tumepatwa Na Misiba Ya Viongozi Wakubwa Mfululizo, Waangalie Upya Kuna Jambo
 
Kwa nini kifo kitangazwe Dunia nzima kua ni corona, tena kwa nguvu kubwa, na kama kweli corona ipo kwa nini wanausalama waruhusu misongamano isiyo salama bila tahadhari? Mwisho lazima tujiulize maswali kwa nini pongezi zije kwa wingi kuliko pole,
Halafu kabla ya hayo, embu tujiulize kwanini Magufuli augue sana na 'afe' halafu viongozi wetu watufiche na kutudanganya kuwa mzee ni mzima na anachapa kazi?
 
Hatimaye wamezalisha Magufuli Spirit
Magufuli alikuwa ni tishio kwao kwani alikuwa akianza kutiliwa maanani barani Afrika.

Marafiki zangu wengi tu kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanaprofile za hayati Magufuli katika simu zao na wengine hata vijana wao.

Hata maoni ya baadhi ya wazungu katika magazeti mbalimbali ya Ulaya kama Daily Mail wametoa salamu za kumtambua Magufuli kuwa alikuwa kiongozi wa kipekee aliekuwa na nia dhabiti ya kuikomboa nchi yake.

Na hata mzungu mmoja kwenye twitter ameuliza kuhusu maoni ya bwana mmoja aitwae Vava Tampa mwezi ulopita katika gazeti la Guardian la Uingereza.

Katika kichwa cha maoni yake hayo alisema"

It's time for Africa to rein in Tanzania's anti-vaxxer president".​

Kuna kitu chaitwa Global Movement na chafadhiliwa na mfuko wa Bill na Melinda Gates.

Tampa anaanza kuuliza katika makala yake hiyo kwamba "What is wrong with President John Magufuli? Many people in and outside Tanzania are asking this question".

Makala hiyo ilitoka terehe 8 February 2021.

Mengine ni kuchambua upi mchele na yapi makapi.
 
Very suspicious. Hivi mbona taarifa za mtaani zilizopo ni kwamba wale bodyguards wa Hayati Magufuli wawili mmoja wa Kilosa nao wamekufa? How authentic is this information. Could it be poisoning of some kind?
 
Very suspicious. Hivi mbona taarifa za mtaani zilizopo ni kwamba wale bodyguards wa Hayati Magufuli wawili mmoja wa Kilosa nao wamekufa?How authentic is this information. Could it be poisoning of some kind?
Hata kama waliumwa walijiuguza na wakapona maana immune zao zipo OK.

Kumbuka symptoms ni siku 7 hadi 10 then you start to recover.
 
Its a massage and we know it!
 
The West feared and hated Magufuli so much na kwa Afrika alikuwa their enemy No.1.Kwa kuwa alikuwa anawazuia kuiba resources za Tanzania,he was going against the interests of their nations.Furthermore,
everybody should remember that he was also against the NWO as far as C-19 is concerned.Infact I dare say Magufuli was fighting against the Devil,because C-19 is a satanic agenda.Kwa hiyo sababu za kumuondoa walikuwa nazo,tena very strong!

The unstated stance of the US is that any measure taken against the acquisition of Africas's resources poses a security threat to the US national interests,which means military force will be used to protect those interests.Wow!
Magufuli has surely gone against Americas' national interests.So?

Nakumbuka walishasema hawataki tena Rais Africa kama Patrice Lumumba,Nyerere au Nkrumah.If that is the case,we have all the reasons to be suspicious of the circumstances of our beloved Presidents' death.Magufuli was like Patrice Lumumba who they killed.He was also like Nyerere and Nkrumah.So why don't we believe that the West,rspecilly the US is responsible for Magufuli's death.Jamani hata pole.

Fuata link ifuatayo uone what going against the National interests of the US means and what it entails.


 
Ilikuwa kutafuta uteuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…