Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Ulipotea sana mzee baba
 
Afrika ipi iliyoanza kumtilia maanani wakati hata majirani wetu tu hapo walikuwa wakimuona clown, na misimamo yake ya hovyo kuhusu Corona na chanjo, ushirikiano na jamii ya kimataifa, nchi zote zimeagiza chanjo isipokuwa Tanzania na Burundi, hii inakupa picha kuwa Magufuli alikuwa na influence Africa au hata Africa Mashariki tu?

Hata Burundi tu ambao ndio kama rafiki yake waliokuwa wamebaki kama rafiki yake walikuwa wameshaanza kumpuuza, hadi wakapiga marufuku mahindi yetu.

Tanzania ina umuhimu gani kwenye siasa za dunia hadi Magufuli aonekane tishio?
 
Paskali inabidi ukasaidie vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuhusu hili jambo linalopangwa na Marekani, ila nawaza tu kwamba Tanzania ni Tishio sana kwa nchi kubwa duniani mpaka Marekani atuwazie jambo bata, labda tunakaribia kuwa super power
 
Povu ndoo nzima.

Kwa sasa dunia imeipuuza corona au bado tunaendelea na lockdown kila baada ya siku??
 
Huyo huwa anapongezwa na viongozi utopolo kutoka,burundi,congo,uganda wenye tabia kama zake,mungu fundi kampa kelbu moja tu kule jamaa yuko mawinguni..[emoji870]tena na tumemuongezea 15 mingine
 
Hahaa [emoji870]tena coona sio mchezo,jamaa yuko mawinguni anawasalimu sana
 
Unafikiri anazo akili za kukuelewa?
 
Paskali sio lazima kupewa pole, by the way hata ukipewa pole maelfu haiwezi kurudisha aliekufa, wao (VP) wameamua kupongeza, na aliepongezwa ni Samia Suluhu sio wewe, sioni unawashwa na nini
 
Hata mimi niligutuka hapo. Nikadhani labda salamu za rambirambi walitoa lakini ni mimi tu ndiyo sikuziona kwa bahati mbaya.
 
Yaani tupate msiba, wasitupe pole, tuapishe rais mpya, watupe pongezi tuu bila pole ya msiba!. Hii imekaaje?!.
Ulichokiongelea hakina ukweli wowote umekiweka zaidi ki conspiracy na hatuna potential yeyote itakayomfanya Marekani aje hapa kama alivyo huko Syria na kwingineko na hapa unajaribu kutengeneza imani flani hivi kwamba aliyekufa tumweke doubt kwamba kuna nyuma ya pazia kifo chake kwamba kuna watu, au mtu (mabeberu) amehusika.

Tuachane na siasa mbona Tundu lissu yupo hai leo na kuna attempts za kumuuwa zilifanyika zikashindikana. Siku ikifika huna ujanja let the weak dies and the strongest survive

Halafu jua kwamba dunia ya sasa watu wengi huendeshwa na hisia zao na sio akili zao.
 
Nasimama upande wako Mkuu, umeongea Points sana
Alisema mwandishi habari mmoja nguli hapa nchini, Mtu asiyesamehe ni kiumbe dhaifu, na viumbe dhaifu ((wasiosamehe) na wenye visasi na chuki kwa wengine) hufa mapema ili wapishe viumbe shupavu vitawale dunia hii ambayo tulipewa na Mungu tuitawale, Ukitaka kuishi maisha marefu Jifunze kusemehe,
lakini pia Samia Suluhu Hassan alisema, Ukisemwa vibaya na watu wengi maisha yako yatakuwa matatani na utakufa hima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…