What if, baada ya njia zote ikishindikana, wakatumia conspiracy theory fulani kutimiza malengo yao?. Maana baada ya ushindi wa kishindo wa rais Magufuli na CCM, sikumbuki Marekani kumpongeza kwa ushindi, na hata baada ya kifo cha rais Magufuli, Marekani haijatoa pole yoyote, lakini jana baada ya Samia kuapishwa na kuwa rais wa JMT, Makamu rais wa US, kamtumia Salaam za pongezi bila hata pole ya msiba wa mpendwa wetu Magufuli?!.
Yaani tupate msiba, wasitupe pole, tuapishe rais mpya, watupe pongezi tuu bila pole ya msiba!. Hii imekaaje?!.
P