Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

You nailed bro.
 
Kwanza wamemstiri sana maana kwa utamaduni.wa kwetu mtu asiyeenda kwenye misiba ya wenzake hata wa kwake watu hawaji.
 


Imekaa ki conspiracy (watu na mambo yao!)

I pray for Madam President! Alipobana, Ongeza! Alipodhibiti, Kanyaga! Alipoumbua, Sambaratisha! Aliposhutumu, Kanyaga kabisa! Mwisho fanya kile Nafsi inakubariki!

Ya Mungu mpe Mungu!

Alhamdulilah!
 

Kingine, katika moja wapo wa Imani wa bara za Africa ni pamoja na “miungu ilipanga na kutengeneza njia sahihi (COVID-19)”


Hii taarifa imeandaliwa kwa mujibu wa Maslahi ya nani na kwa lipi?!?

Pumzika kwa Amani JPM
Pumzika kwa Amani JFK
Pumzika kwa Amani PDW

Madhalimu yako na tabia ya kujiridhisha!

Tamati yake imefika ila mbegu kazipanda!
 

Hatari!

Mchele hapa upo zaidi ya makapi!
 

Kukiri kwao jana juu ya legacy ya Magufuli inatwambia mengi! Mengi sana hasa kuhusu wao na sio sisi!

Tumejiuliza kwanini wengi wao wamekiri kwamba Lugha ya Swahili imeingizwa katika mitaala yao???

Tanzania tusimame Imara, the future is too bright for most of us to see,... but we can still see mbele kunani!!!
 
Paskali inabidi ukasaidie vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuhusu hili jambo linalopangwa na Marekani, ila nawaza tu kwamba Tanzania ni Tishio sana kwa nchi kubwa duniani mpaka Marekani atuwazie jambo bata, labda tunakaribia kuwa super power

Kuhusu Kaka Pascal kutusimamia, sina hoja!

Hoja ya sisi kuwa tishio kwa sasa inatokana na Rais aliyekuwepo madarakani, he never gave a ****** ass in all that he did, ikiwemo wao (international community!)!

World war 3 imeanza kitambo sana! (Cold War 2003-2011 ) !

Ila we still got a chance and a choice!
 


Chief!!! Kweli unalinganisha Tanzania (JMT) na Syria?!? Kweli?!

Muumba Simama!
 

Mbona mnamtisha mheshimiwa Rais Madam Samia na kifo!? Tena cha Karma?!?

Mnatupa nafasi tufikiri uwenda hata cha JPM kilikua sio mapenzi ya Muumba!!

Shauri zenu!!!
 
Vipi kuhusu rambirambi watu wametoa maana watu wa kagera hawaja sahau kuhusu tetemeko
 

Kwani ni lazima wakupe pole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…