Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Kwahiyo hayo maradhi yake si akaenda kukaa kwao wengine wawe marais
 
All in all taifa linapitia kipindi kigumu sana kwa sasa. Tuiombee nchi yetu.
Nakupenda Tanzania![emoji172][emoji169][emoji1665][emoji169][emoji170]
 
..HAKUNA MWANDISHI WA HABARI(ukiwemo wewe) WALIOTHUBUTU KUMSHAURI MHESHIMIWA KAMA ULIVOFANYA LEO KWA MAMA SAMIA. Leo unajifanya unashauri usalama wa taifa uliotengenezwa na huyo mliokuwa mnalamba miguu
 
Hivyo inawezekana naniliu alitofaitiana na mabeberu hawa, hivyo wakamnaniliu?.
P.
 
Ikitokea tukio la jana ni ugaidi kweli, na gaidi mwenyewe ndio kauwawa, Luna Watanzania wenzetu ndio wataanza kushangaa as if ni kitu cha ajabu.

Kwa waliosoma bandiko hili, mtangundua Luna vitu tulisema humu kuwa vinaweza kutokea, hivyo tukio la jana is not a surprise as if ni tukio la ajabu, kumbe wapanga tukio wapo, funders na financials wapo na wanajilikana, kisicho julikana ni watekelezaji tuu, kama ndio hawa wanaouliwa bila kuwajua waliowatuma, hivi vita vya ugaidi wa kimataifa, sisi Watanzania, tutaviweza kweli?.
P
 
Lakini si kwa tukio hilo la jana.

Kama ingekuwa hivyo basi huyo muuaji angekwenda kwenye uwingi wa watu na kuanza kushambulia raia wengi.

Hii naamini bado inabaki kuwa "isolated case".

Hata hivyo tusubiri uchunguzi ukamilike tupate picha halisi.
 
Jana hakuna ugaidi, angekuwa gaidi angewasha ombaomba, daladala mpaka ule msafara, uliopiga U-turn na kukimbia.

Jana ni mtu aliyetaka kufa kifo cha kipekee. Wasiomjua wamjue.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Cha msingi JE, TUTAWEZA??
Jana tumeonyesha response ya chini SANA, hakuwa gaidi, fatalities zingekuwa nyingi.

Maana muda aliokuwa FREE kurusha risasi ulikuwa mwingi, pamoja na uwepo wa maaskari, ambao kazi yao imekuwa kukusanya TOZO za magari.
Kuna ya kuwa Drills za emergency responses.
Tuko weupeee.
PT inayo escort kigogo, inageuka inakimbia??


Everyday is Saturday............................... 😎
 
pitia na hii
 
Paschal Mayala,wewe ni mtu wa idara ya usalama wa Taifa na ccm wamekupandikiza kwa makusudi humu mitandaoni kwaajili ya kuvuruga movements za Watanzania za kuing'oa ccm na kudai katiba mpya
Mkuu monde arabe, du...!.
Naheshimu freedom of thinking and freedom of expression yako,
Hivyo inawezekana hata siku ile pale Ikulu ni Idara ndiyo ilinituma kumuuliza swali hili Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli bosi wangu?.

Na katika kuisafisha Idara, huyu ni ofisa wa Idara amekuja humu kuisaidia kuisafisha idara TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Na ili kulisafisha Bunge letu, itakuwa ofisa kipenyo huyu alishauriwa kuandika kuhusu Bunge kujipendekeza kwa serukali kisha ikamtuma dodoma Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Na kulipotokea tishio la usalama kwa taifa letu, afisa kipenyo huyu ali copy and paste ripoti ya ofisini na kuimwaga humu jf Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Then kiukweli tutakuwa na TISS ya ajabu sana!.
Kama kila watoto wanaozaliwa na wazazi wote baba na mama ambao ni Tiss na watoto wao ni Tiss then TISS itakuwa na watu wengi sana!, sisi tumezaliwa 8!.
P
 
Ah, hii kumbe ya zamani, walishamwua, kama walivyomfanya yule wa Guatemala. Marekani essentially ni dola la Kishetani. Walitaka kuisambaratisha Ethiopia, bahati nzuri AU imesimama wima na leo wanatia mkataba wa amani na TPLF.
 
All in all taifa linapitia kipindi kigumu sana kwa sasa. Tuiombee nchi yetu.
Nakupenda Tanzania![emoji172][emoji169][emoji1665][emoji169][emoji170]
uombe na nani na uombe nini.. nnji hii wala si ya kuombewa
ukipenda omba pekeyako
 
Kaka Pascal Umenitisha sana mzee wa kitengo pale Saint Peters.
Mkuu Phillipo Bukililo, mtu wa kitengo, angeweza kuleta bandiko kama hili TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Au hili Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya? kwanini nilete humu nisipeleke ofisini?.

Mkuu wa TISS ni CinC, ningekuwa kule, baada ya kuona maisha ya CinC yako hatarini, kwanini nisiripoti kitengo, na badala yake nikaja kuripoti humu?, US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? mwisho wa siku you know what happened!, kwanini sikusaidia?.

Kinachofanya watu humu kunidhania, ni kufuatia wazazi wangu wote wawili, baba na mama both ni watu wa huko, hivyo watu kudhani mwana wa nyoka ni nyoka!, sisi tumezaliwa 8!, kama watoto wote wa kitengo wanaajiriwa kitengo, hicho kitengo kina watu wangapi?. Kati ya sisi 8, mwenye watoto wachache ni 6!, mimi ninao 10 wa home!, hicho kitengo kitakuwa na watu wangapi?.

P
 
mmmh
 
Wanabodi,
Mpango wenyewe uko hivi:

  1. Kuna mambo ya jinsi rais Magufuli anavyoendesha nchi, haswa kwenye ulinzi wa rasilimali zetu, mabeberu wa Wamarekani na washarika wao, hawapendi.
Jumatatu njema

Paskali
  1. Japo Blaza, anasemekana he left by natural causes, ila kwenye vita vya kimaslahi, wabeberu wanaweza kufanya lolote!, hivyo pia anaweza kuwa emeleftishwa kwasababu za kiuchumi!.
  2. Kuna uwezekano baada ya kumleftisha, wanahakikisha, wanajipenyeza kisawasawa!.
  3. Unaweza kukuta Mwarabu wa Dubai ni front tuu lakini nyuma yake yuko kubwa la mabeberu, Marekani!.
  4. Waheshimiwa wabunge wetu kesho wanajadili mkataba huu. Nawaomba watangulize maslahi ya taifa mbele!.
  5. Baada ya kumpa Mwarabu wa Dubai kutuendeshea Bandari yetu ya Dar es Salaam, jee mpango wa Bandari ya Bagamoyo bado upo?.
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu majadiliano mema hapo kesho.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…