Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Safi sana.
Kwa wasioelewa ni kuwa Marekani, Israel, UAE, Saudia, Uingereza ni washrika wa pamoja kwenye mambo mengi sana.
CIA wana mkono kwenye kampuni nyingi sana, ili kuficha trace zao unaweza kudhani hizo ni kampuni za waarabu kumbe ni front companies zao.
Lengo ni kutumia kampuni hizo kucounter influence ya mchina na kujihakikishia hegemony ya rasilimali kwa miaka mingine 100 ijayo!
 
Naomba uyapambanue hayo maslahi. Wanao pinga wanasema ni kwa maslahi. Wanao kubali nao wanasema ni kwa maslahi. Wewe unamaoni gani blaza
 

But still ni theory tu. how we can prove this in reality? Anybody anaweza prove his allegation au zinabaki theory tu?
 
Kaka Paschal Mayala ,samahani katika ili. Hivi mpaka leo unataka tuendelee na hisia na imani kua wazungu ni watu wenye nia hovu nasi wana wa Afrika? Sidhani kama tutakua sahihi ata siku moja,hii indoctrination tuliyo kalilishwa na wajamaa aiwezi kua leo sahihi. Nafikiri ni muhimu sasa tuame kwenye fikra za hivyo maana hamna faida wala misingi ya kuendelea kuaminisha vizazi vyetu kwenye ili.
Mwisho,sioni kama hupo sahihi sana unapoweka mashaka kua kuna kauwezekano kua PJM alifanyiwa chochote mpaka akapoteza maisha yake. Labda unaweza kutufungua macho na kutuzibua masikio,KARIBU KAKA MKUBWA
 
Bado tunabaki katika mkwamo wa nadharia hiyo hiyo .Hivi kuna Multinational company ambayo inafanya kazi bila kushirikisha mashirika makubwa ya kijajusi? Lakini pia,tujiulize hii kampuni hipo ata USA je ni geresha kwa mataifa mengine? Uhakika nikua hatuna sana ingawa ata ingepewa China pia hao wana njia zao za kupenyeza makachero wao katika biashara za kimataifa. Angalia kwenye makampuni kama CHICO uwezi kuwakosa MSS,MPS,SAD na IBJSD etc
 

Kwahiyo wazungu ni watu wema Sana wanao tupenda??
 
Kwahiyo wazungu ni watu wema Sana wanao tupenda??
Wazungu ni watu kama wengine tunao shirikia nao kwenye mambo mbali mbali ya kiuchumi,kisiasa,teknolojia,kijamii nk. Kwahiyo kukataa kufanya ushirikiano nao kwakua tumemezeshwa na kukaririshwa vitu vilivyopitwa na wakati si sawa.
 
W
Wewe mjinga na bandiko lako la kijinga sijui upo na Hali Gani Kwa sasa...

Us is undispute...
 
Mkuu Bishweko , tende taratibu mdogo mdogo!, anzia hapa Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts? kisha njoo hapa US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Unaamini ile Machi 17 ndio siku yenyewe?, na sababu zenyewe ni zile?.
P
 
Hiyo akili hamna kuweza kung'amua USA ametarget nini hapo baadaye.Marekani inaraia wake wanaopata mpaka PhD kwa ajili ya kusomea siasa,tamaduni,tabia na kila kitu cha jamii za kiarabu,Afrika, na sehemu nyingi duniani ambazo wana maslahi nazo bongo kuna nani anasomea kujua hila,tabia,tamaduni,hisia na ujanja wa USA kwa viwango vya PhD ?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Kaka Paschal bado tunabaki na hisia....Hivi tunaweza kusema leo kua Covid-19 ilitengenezwa ili kumuondoa JPM?
Kwanza tumuache jamaa apumzike kwa amani
 
Kaka Paschal bado tunabaki na hisia....Hivi tunaweza kusema leo kua Covid-19 ilitengenezwa ili kumuondoa JPM?
Kwanza tumuache jamaa apumzike kwa amani
Mkuu Bishweko, sio kweli kuwa covid-19 ilitengenezwa ili kumuondoa Magufuli, kwasababu Covid imewaondoa watu wengi sana wakiwemo Wamarekani wenyewe!.

Ila pia mabeberu wakiamua hawakutaki wanakutafutia namna yoyote ile wakuondoe, hivyo maadam tumeelezwa Mwamba alichomoka tarehe 17 March kwa ugonjwa wa moyo, kanuni ya utii kwa mamlaka inatutaka tuamini kile tuu tunachoelezwa na mamlaka rasmi, hivyo Mwamba hajachomolewa na covid 19!.

Hii haizuii watu kuendelea kujiuliza Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Hili la mabeberu, tililieleza siku nyingi humu JPM alipopitisha sheria mpya ya madini na sheria ya rasilimali za taifa, niliuliza humu Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts? kisha nikauliza US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? it's very unfortunately wale manungaembe wetu walishindwa kum protects, watu wa kazi zao wakala kichwa!, hivyo sasa tusiendelee kuhoji kilitokea nini haswa wala kuwa na mashaka yoyote bali tuamini ni kazi ya Mungu na hapa duniani sote tunapita tuu!. It's very fortunately jamaa yuko mbinguni peponi kwa Baba yake yuko na Baba yake. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Paschal....Makonda alisema awezi kumkana JPM lakini pia wakati huo Makonda alikua RC na mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa jiji la DSM.
Naona unataka kuelekeza sasa kua Makonda ni muda sasa aendelee kutujuza nini kilimkuta mzalendo JPM!!?
 
Paschal....Makonda alisema awezi kumkana JPM lakini pia wakati huo Makonda alikua RC na mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa jiji la DSM.
Naona unataka kuelekeza sasa kua Makonda ni muda sasa aendelee kutujuza nini kilimkuta mzalendo JPM!!?
Kilichomtokea JPM si kimeelezwa na Samia
P
 
..jambo lingine linalompoza Mama Samia ni uoga wake kwa nchi za magharibi.
Mkuu JokaKuu , sio uoga bali ni kuzingatia ukweli mchungu kuwa mabeberu ndio wanaoendesha dunia!. JPM alikaza na kuwagomea, nini kilichompata na sasa yuko wapi?.

Hawa jamaa sio mchezo!. Niliwahi kuuliza humu

P
 
Duuuh hizi nyuzi hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…