INAUZWA Security camera kama bulb, bei 30,000 tu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Rudisha heshima na adabu nyumbani kwako. Watu waache kukaa kizembezembe
Leo tunakuletea offer kabambe ya mwaka mpya
Camera ni elfu 30 ukichukua anzia pc 3. PC moja ni elfu 30
Ni rahisi kutumia na unaiweka sehemu yoyote kama Ile bulb ya kawaida
Unaweza kuconnect kwenye simu zaidi ya moja
Ina mic na speaker ya kuwasiliana pande zote mbili yaani unaweza kuongea na mtu aliyeko karibu na camera
Full high definition of hd clear video
Unaweza ukaigeuza kwenye angle zote unazoitaji kuona.mzunguko huo utaucontrol kupitia app ya simu yako
Inaonesha clear hata usiku
Unaweza ukaweka memory card na kurecord matukio yote wewe unakuja kuangalia baadae
Inafaa nyumbani ,dukani ,ofsini etc
Mikoani tunatuma kwa uaminifu kabisa
Fanya kuwahi ziko chacheee
Mawasiliano 0764225747
Pia kwa wale wanaotaka inayotumia solar. Pc 160,000 nimeambatanisha picha pia. Wakuu
 
Attachments

  • IMG-20250125-WA0014.jpg
    IMG-20250125-WA0014.jpg
    52.4 KB · Views: 1
  • VID-20250121-WA0087.mp4
    990.5 KB
  • IMG_20250224_112248.jpg
    IMG_20250224_112248.jpg
    364.8 KB · Views: 1
Rudisha heshima na adabu nyumbani kwako. Watu waache kukaa kizembezembe
Leo tunakuletea offer kabambe ya mwaka mpya
Camera ni elfu 30 ukichukua anzia pc 3.pc moja ni elfu 30
Ni rahisi kutumia na unaiweka sehemu yoyote kama Ile bulb ya kawaida
Unaweza kuconnect kwenye simu zaidi ya moja
Ina mic na speaker ya kuwasiliana pande zote mbili yaani unaweza kuongea na mtu aliyeko karibu na camera
Full high definition of hd clear video
Unaweza ukaigeuza kwenye angle zote unazoitaji kuona.mzunguko huo utaucontrol kupitia app ya simu yako
Inaonesha clear hata usiku
Unaweza ukaweka memory card na kurecord matukio yote wewe unakuja kuangalia baadae
Inafaa nyumbani ,dukani ,ofsini etc
Mikoani tunatuma kwa uaminifu kabisa
Fanya kuwahi ziko chacheee
Naipataje
 
Ina. Backup battery
 
Je inafanya kazi pekee yake bila kutegemea viunganishi vingine kama wire monitor kwa ajiri ya ku view video nk?!
 
Rudisha heshima na adabu nyumbani kwako. Watu waache kukaa kizembezembe
Leo tunakuletea offer kabambe ya mwaka mpya
Camera ni elfu 30 ukichukua anzia pc 3.pc moja ni elfu 30
Ni rahisi kutumia na unaiweka sehemu yoyote kama Ile bulb ya kawaida
Unaweza kuconnect kwenye simu zaidi ya moja
Ina mic na speaker ya kuwasiliana pande zote mbili yaani unaweza kuongea na mtu aliyeko karibu na camera
Full high definition of hd clear video
Unaweza ukaigeuza kwenye angle zote unazoitaji kuona.mzunguko huo utaucontrol kupitia app ya simu yako
Inaonesha clear hata usiku
Unaweza ukaweka memory card na kurecord matukio yote wewe unakuja kuangalia baadae
Inafaa nyumbani ,dukani ,ofsini etc
Mikoani tunatuma kwa uaminifu kabisa
Fanya kuwahi ziko chacheee
weka samba mako ya simp sasa watu wanakupataje
 
Mbona hujaweka mawasiliano yako ndugu Afisa Masoko?
 
Ukiuza zenye solar uweke hapa
Maana kwa umeme wetu huu, wabongo wanasubiri umeme ukate tu wafanye yao
Mbongo ana mbinu kuzidi sheitani
Zipo boss ni 160,000 hapa nimeweka za bei nafuu
Ila zipo za kumwaga
 
Attachments

  • IMG_20250224_112248.jpg
    IMG_20250224_112248.jpg
    364.8 KB · Views: 1
Rudisha heshima na adabu nyumbani kwako. Watu waache kukaa kizembezembe
Leo tunakuletea offer kabambe ya mwaka mpya
Camera ni elfu 30 ukichukua anzia pc 3.pc moja ni elfu 30
Ni rahisi kutumia na unaiweka sehemu yoyote kama Ile bulb ya kawaida
Unaweza kuconnect kwenye simu zaidi ya moja
Ina mic na speaker ya kuwasiliana pande zote mbili yaani unaweza kuongea na mtu aliyeko karibu na camera
Full high definition of hd clear video
Unaweza ukaigeuza kwenye angle zote unazoitaji kuona.mzunguko huo utaucontrol kupitia app ya simu yako
Inaonesha clear hata usiku
Unaweza ukaweka memory card na kurecord matukio yote wewe unakuja kuangalia baadae
Inafaa nyumbani ,dukani ,ofsini etc
Mikoani tunatuma kwa uaminifu kabisa
Fanya kuwahi ziko chacheee
Kwahiyo tuendelee kuwasiliana na hizi fake I'ds? Sasa hata namba ya simu hakuna, nitumie pc 6.
 
Back
Top Bottom