Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mkuu hao wanamsaidia kuutangaza muziki wake, yeye awashukuru.
- Hamna namna akawafikisha mahakamani. Hapa copy right ihusike alipwe mpunga na Jamhuri aiseee
Jambo la msingi utambue hao hawauzi huo muziki walionakili.