Seduce yavunja record duniani na Africa kwenye iTunes, Mwana yaibuka

Seduce yavunja record duniani na Africa kwenye iTunes, Mwana yaibuka

Hapo kwenye dunia ebu jarbu ku edit vizuri , kuna nyimbo km sauce it up by vert zinasumbua billboards na mauzo itune toa ushabiki pembeni mleta mada
That's not twisted dude, it's fresh as hell directly from the source. ITunes limited
 
Acha basi utani. Dunia. Mmm kuna watu wanaviews bilion sasa huyu hata million 20 hajafikisha mpaka sasa

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
  • Seduce yavunja record duniani na Africa kwenye iTunes
  • Mwana yaibuka kwenye kumi bora duniani
  • Seduce me yawa number one duniani na pekee Africa King Kiba akifunika Africa nzima

Haaaaa ya kwel haya.
 
HIVI MNAPOSEMA "DUNIANI NA AFRICA" ILI HALI KUNA MWANADADA TAYLER SWIFT AMBAYE ANA KICHUPA CHA "LOOK WHA YOU MADE ME DO" CHENYE VIEWS MILIONI 120+ TUWAELEWEJE? acheni kufabricate news.
 
Aliyempost anaish Kenya. Na ndiye meneja wake. Hiyo ni statistics kutoka kwenye iTunes.amefanya kuisrinishoti akaipost

Sent using Jamii Forums mobile app


Nilivyoelewa mimi hizi ni stats za iTunes in Kenya na ndio maana kwenye Tweet yake Seven akaweka bendera ya Kenya. Wala sio kwasababu anaishi Kenya. Na Kiba, Diamond, Vanessa Mdee, Fid Q au mwanamuziki yeyote wa nyumbani kushika No.1 kwenye mauzo ya iTunes duniani kote bado ni ndoto japo inawezekana
 
Co inan uma n pale nnapo shangaa anapewa sifa nyingi mtu asiye stairi afadhari akina Vanessa na navy Kenzo wanastairi Izo support zote kulko uyu anae bebwa bebwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unawapangia watu namna ya kumsupport mtu...hao unaoina hawapewi support kwanini wewe usishawishi na wana ukoo wenzio wawape support
 
Back
Top Bottom