Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni mentality ya brainwashed woman. ......the whiter the best, mnaishia kujikoboa like hell,Hiyo couple namba 8[emoji23][emoji23][emoji23]
Embu nitafute mzungu mie.. nizae mitoto mitamu.
Eeh..kichambo🤣🤣Hii ni mentality ya brainwashed woman. ......the whiter the best, mnaishia kujikoboa like hell,
Shame on all who bleach their skins.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo couple namba 8[emoji23][emoji23][emoji23]
Embu nitafute mzungu mie.. nizae mitoto mitamu.
Wewe tenaaCouple no 17 [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Wewe utakua kibonge kabisa yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3577][emoji3577][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lol poleeeeeeh nlivokua kimbau mbau uwiiiiiiiiih, niliyenae ananipeleka kila angle na mie npo, nakunjika hata kambale mbichi hanifikiiiih kiruuuuuhWewe utakua kibonge kabisa yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3577][emoji3577]
Mie TISS wa JF bhanaaah kwan weee hujui hilo? MmmmmmhWewe tenaa
Kila nkipiga Kona nakutana na we Kama usalama wa taifa kwenye korido zao hapo karibu na collosium [emoji3][emoji3][emoji3]
Kila la heriHiyo couple namba 8[emoji23][emoji23][emoji23]
Embu nitafute mzungu mie.. nizae mitoto mitamu.
Hakuna wanawake wanapenda pesa kama wanawake weupe, na yeyote unaemuona ameoa ngozi nyeupe na hana hela ujue ameoa reject. Kama ni mzungu ni mnene hana soko mgonjwa, kama mchina mfupi sana na kibonge, kama mwarabu taahira wanakupa na kama Muhindi basi ukoo wa ovyo
Labda kabambikiwaPicha namba 3 yaani watoto wametoka wazungu kabisa [emoji44]
Hamna mkuu situation Kama hii huwa inatokea sanaLabda kabambikiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Lol poleeeeeeh nlivokua kimbau mbau uwiiiiiiiiih, niliyenae ananipeleka kila angle na mie npo, nakunjika hata kambale mbichi hanifikiiiih kiruuuuuh
Mxieeeeeeeew, hebu kaa kwa kutulia lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Naweza Nikawa mimi
Kwani haipiti nkikupitishiaaaa[emoji3577][emoji3577][emoji28][emoji28]Mxieeeeeeeew, hebu kaa kwa kutulia lol