Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Lakini utakuta hiyo hela hawatoi wao bali ni wadhamini mbalimbali wakiwemo wenye hiyo apartment,kwani biashara matangazo
yawezekana,ila wao kwa hela zao wanaweza kuafford pia
Hao ndio hua wanaishi sasa hapa duniani, wengi tunasindikizaa
Dina usiseme hvyo mbona mimi sisindikizi hayo maisha.
Dedication wimbo wa Vanesa Mdee, chorus yke mwisho mwisho inasema come over baby