See Photos Of The $150,000 Per Week Kardiashian Apartment In Thailand

See Photos Of The $150,000 Per Week Kardiashian Apartment In Thailand

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Money is really good as the kardiashians are having a good time in Thailand...see photos of luxurious apartment costing $150,000 ,pesa tamuuuu

1651858_kardashian-thailand-iniala-over-the-top-beach-house-palace-1_jpgeb4bee88b47d78dd0f59348d568a4a31
 
Lakini utakuta hiyo hela hawatoi wao bali ni wadhamini mbalimbali wakiwemo wenye hiyo apartment,kwani biashara matangazo
 
Lakini utakuta hiyo hela hawatoi wao bali ni wadhamini mbalimbali wakiwemo wenye hiyo apartment,kwani biashara matangazo

yawezekana,ila wao kwa hela zao wanaweza kuafford pia
 
yawezekana,ila wao kwa hela zao wanaweza kuafford pia

Sawa lakini masuper star wengi hupenda vya bure,kuna wakati Psquare walikuwa Uganda,walishindwa kujilipia baada ya kutumia zaidi ya kiwango walichokubaliana na promoter na tunavyojua PSquare wana hela ,mwenye hotel akawabana ndipo wakatoa baada ya kukaa hotelini kwa siku 3 zaidi,na hao akina Kim wapo Thai chini ya udhamini fulani kuna project wanaifanya.
 
Hao ndio hua wanaishi sasa hapa duniani, wengi tunasindikizaa
 
kama sio wadhamini basi waafrica itakuwa tuna tatizo
 
Hao ndio hua wanaishi sasa hapa duniani, wengi tunasindikizaa

Dina usiseme hvyo mbona mimi sisindikizi hayo maisha.
Dedication wimbo wa Vanesa Mdee, chorus yke mwisho mwisho inasema come over baby
 
Back
Top Bottom