rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
SawaSawa ila nilichokiandika sijabahatisha.
Kutembea na silaha sio lazima , unaweza kuziacha kwenye base ila foleni inakuwa kubwa na inakuwa na paperwork za kutosha na kusubiri kwingi ili kukabidhisha.
Niliwahi kuongea na wadada ambao waliserve IDF for 24 months nadhani ni sheria ya huko kupita jeshini (sina uhakika), na ndio walionithibitishia hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app