Nyie watu hata kama hamjui kingereza vizuri au labda hamuwezi kutumia akili basi fungueni macho myatumie vizuri. Nimeeleza vizuri kuwa hiyo speed ya 250 meters per hour ni comparative, sio absolute. Inajulikana kuwa kwa absolute speed hata mtoto anayejifunza kutembea ataipita hiyo spidi ya 250 meters per hour. Sasa fungueni macho muelewe vizuri nyinyi wenye macho lakini msioona.
Nimesema hii spidi ya mleta mada ni 250 meters per hour FASTER THAN ANY OTHER CAR. Any other car maana yake ni gari lolote lingine dogo. Kwa hiyo kama kuna gari dogo lenye spidi kubwa labda ya 200km per hr, hii bugatti inakimbia spidi 200.25kph kwa sababu 250 meters per hour ni sawa na 0.25kph. Niendelee. Kama kuna gari lenye 300kph hii bugatti inakimbia 300.25kph. Kwa lugha nyingine chukua gari unalolifahamu lenye spidi kubwa kuliko zote duniani, hiyo spidi yake ongeza na 250 meters per hr au 0.25kph ndio unapata spidi ya hiyo bugatti.
Hiyo spidi ya 250kph mnayoshupalia ni kaspidi ka benz tu tena used, sio kubwa kihivyo.
Vipi hapo bado hamjaelewa?