See What a Kenyan did to this Chinese after he was called a Monkey

Hiki kibao kikikupata lazima uone nyota zinazunguka hata kama ni mchana!!!
 
Wakenya ni waoga hawawezi ata rusha ngumi.. Huyo si Mkenya..
Aah wapi bana. Waoga wa Afrika mashariki tunawafahamu vizuri. Huwa hawana ujasiri wa kutetea haki zao na shughuli kama hizi hapa za kudaka na kuwarudishia polisi mobomu yao ya machozi huwa wanazitizama tu kwenye Tv. .....na wakati mwingine pia polisi huwa wanacharazwa viboko. [emoji1]
 
Kwa miguvu africa tumejaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…