See What a Kenyan did to this Chinese after he was called a Monkey

See What a Kenyan did to this Chinese after he was called a Monkey

Hiki kibao kikikupata lazima uone nyota zinazunguka hata kama ni mchana!!!
 
Wakenya ni waoga hawawezi ata rusha ngumi.. Huyo si Mkenya..
Aah wapi bana. Waoga wa Afrika mashariki tunawafahamu vizuri. Huwa hawana ujasiri wa kutetea haki zao na shughuli kama hizi hapa za kudaka na kuwarudishia polisi mobomu yao ya machozi huwa wanazitizama tu kwenye Tv.
v95aI98yrODO1yRPkW0AAkuC6.jpg
.....na wakati mwingine pia polisi huwa wanacharazwa viboko. [emoji1]
 
View attachment 922491View attachment 922491hio ndio inaitwa kofi ya stima..how do you insult someone who is twice your size...alafu this is a Nigerian man and the guy he's slapping is not Chinese but a Filipino... It happened a couple days ago in a supermarket in Qatar...not kenya....you can even hear a woman shouting in the background in Arabic
Kwa miguvu africa tumejaliwa
 
Back
Top Bottom