Tunapoelekea Uchaguzi wa Urais na Ubunge mwakani jimbo la Segerea kumekucha, vikao vimeanza na Mbunge wa Jimbo hilo Bonnah Kamoli ana wakati mgumu sana.
Baadhi ya watu wanaofanya vikao sasa kuhakikisha Jimbo wanalibeba kutoka kwa Mbunge Bonnah ni Mhasibu wa Shule za Tusiime na Vikao vimekwisha anza na kufanyikia hapo shuleni Tabata, Kuna Mwana Dada anaitwa Palina Ninje (Pichani) huyo ndiyo mastermind mwenyewe.
Wengine wanaofanya vikao ni Scholastica Kevela huyu alipambana na Bonnah hata chaguzi iliyopita, hakika sasa moto umeanza kuwaka.
Tunaona yanayojiri kwenye CCM na huku mtaani nako ni balaa tupu.