jamani kutangaza nia ya kugombea siyo tatizo maana inatakiwa kutangaza nia na kuonyesha mikakati yake ili sisi raia wa kawaida tuweze kulinganisha na aliyopo madarakani na wakati ukifika tutajua ni yupi anayefaa zaidi,mbona Marekani uchaguzi ni mwakani lakini wanajiona kuwa wanafaa kwenye nafasi yeyote wanajitokeza na kutoa sera zao mpaka kiti cha uraisi na wala hamna shida yeyote?