Lofawamali
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 304
- 146
Naulizia sehemu youote mnayoifahamu ambayo inafanya kipimo cha biopsy kwa umakini na uhakika zaidi hlo ni kwanza pili ni nani anayefahamu sehem wanafanya kipimo cha P.E.T Scan kwa uhakika jibu lako litakua ni mchango mkubwa kwangu nashukuru sana wanajamii.