Jamani wana Jamvi naomba kama kuna Mtu anaweza kunisaidia kwa namna yeyote ile kupata Sehemu jijini Dar niweze kufungua Biashara ya Stationery
Eneo liwe ni Potentila kwa Biashara husika yaani Nikipata Maeneo ya Vyuo au Sekondari Nitafurahi
Mwenye nayo au anayewa kunisaidia kupata anaweza kuni PM au akamwaga info hapa hapa
Asanteni