Hizzi nishapitaga mkuu kasoro hio.mikocheni ngoja tuiangalie..ntaanza na mabibo kwanza .26 niende mikochen.27..tutoke nke kdogo mbezi 28 uwanja wa nyumban julianaTips mikocheni wana kitimoto nzuri
Spurs posta wana kitimoto nzuri
Juliana mbezi wana kitimoto nzuri
Rafiki bar iko pale sijui wapi , ila opposite na njia ya meditrano, ukitokea kawe/mikocheni
Tips mikocheni wana kitimoto nzuri
Spurs posta wana kitimoto nzuri
Juliana mbezi wana kitimoto nzuri
Rafiki bar iko pale sijui wapi , ila opposite na njia ya meditrano, ukitokea kawe/mikocheni
Mbagala mbali mkuu nataka tour ya within dar..keko gerezani pemben amaMbagala kuu ,rangi tatu karibu na uwanja wa zakiemu utakuja kunishukuru
Vinginevyo nenda keko
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app