BEST ONE BOY
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 309
- 221
KWA macheni hapaaa heee hadi bidhaa pendwa zipo aisee sijavutiwaaKwa Macheni!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KWA macheni hapaaa heee hadi bidhaa pendwa zipo aisee sijavutiwaa
Mkuu Nina allergy na bidhaa pendwa Mimi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nenda magomeni kwa macheni
Habari wadau wa JF,
Nipo Magomeni mda huu mitaa ipi hususani kwa Kagera maeneo yapi club nataka kujiliwaza mda huu.
HAYA sasa kila mtu na yake duuUpo karne gani mkuu
Tokea 2012 macheni imevunjwa
Mnaishi karne ganiNenda magomeni kwa macheni
...basi kanye ukalale!Mkuu Nina allergy na bidhaa pendwa Mimi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nipo mkoani huku! Dalisalama long time!Upo karne gani mkuu
Tokea 2012 macheni imevunjwa
SASA kama ulikua kitambo Mbona macheni wanadai imevunjwaNipo mkoani huku! Dalisalama long time!
Ndo nilikuwa sijui mkuu. Nimemaanisha nilikuwepo dar zamani now nipo mkoani...kwa macheni ilikuwepo hapo magomeni mapipa.SASA kama ulikua kitambo Mbona macheni wanadai imevunjwa
Okay....umesomekaaa mkuuNdo nilikuwa sijui mkuu. Nimemaanisha nilikuwepo dar zamani now nipo mkoani...kwa macheni ilikuwepo hapo magomeni mapipa.