Bandugu,
Nina ka-assignment kidogo cha binafsi kuandika, nahitaji sehemu ya kwenda kufanyia hiyo kazi lakini pia iwe ni kama 'vacation' kwangu.
Sifa zake angalau ziwe:
Malazi yasizidi elfu 50 kwa siku
Kuwe na Wifi
Kuwe na vivutio karibu ambavyo jioni naweza tembelea kwa ajili ya ku-recharge..vivutio kama beach, mto, zoo, shopping centres etc
Mitandao ya simu iwe inashika kwa uhakika hasa Tigo na Airtel