Op
Magugu !? Kile so Kijiji aisee ...Kuna Nini labda!?
ONa kuliko kuishi Babati si bora kuenda Magugu tuu
Magugu !? Kile so Kijiji aisee ...Kuna Nini labda!?
ONa kuliko kuishi Babati si bora kuenda Magugu tuu
KimechangamkaOp
O
Magugu !? Kile so Kijiji aisee ...Kuna Nini labda!?
Dadavua kiongozi!Kimechangamka
Babati ndo best askwambie mtuWakuu habari, mimi ni mdau wa maswala ya ujenzi (civil engineer) nataka nifanye maisha ambayo kwa kiasi kikubwa yatakuwa yanahusiana na sekta ya ujenzi.
Je, kati ya Dodoma na Babati ni mji gani utakuwa poa zaidi?
Na je gharama za maisha kwa ujumla zikoje maeneo hayo.
Pia kati ya miji hiyo miwili Fursa za Maendeleo zikoje.
Nakaribisha maoni yenu huenda uzi huu ukawasaidia wengi.
Asanteni.
Huku masaki na oystebay hamna madimbwi mkuuUsimsikilize huyo! Wapi Tanzania hii kusikokuwa na madimbwi kipindi cha mvua?
Dodoma ni pazuri kulingana na biashara unayotaka kuifanya.
Kwa mfano kama unafungua hoteli-baa inayoeleweka sio kibaa uchwara uchwara, itakulipa. Dodoma kuna walevi wengi sana! Bia hazilazi, nyama zinaisha, kuku hawatoshi.
Wanawake waliohamia dodoma hawapiki wanakula hoteli-baa, madanga yote yanapatikana hoteli-baaa ... utauza sana hakuna hoteli-baa inayofirisika dodoma wahi kabla hujawahiwa!
Acha kudanganya watu wewe kila mahala Kuna fulsa zake za kupata kitu, kwa kule Dodoma sasa hv mtaji ni watu, Kwa mtu mhangaikaji anaweza kufanya jambo kubwa tu, Kwa Babati ni uwe mkulima, sasa yeye anataka kua mkulima?? Jua lengo lakeDodoma ni kama ni jangwa kama Sinani. A babati ni canaani nchi ya maziwa na asali
Upo sahihi kwa biashara ya huduma akaweke dodoma ila kwa kilimo aende babati of course inategemea na nature ya biashara anayotaka. Population (consumers)ni mtaji pia katika biashara yetoteAcha kudanganya watu wewe kila mahala Kuna fulsa zake za kupata kitu, kwa kule Dodoma sasa hv mtaji ni watu, Kwa mtu mhangaikaji anaweza kufanya jambo kubwa tu, Kwa Babati ni uwe mkulima, sasa yeye anataka kua mkulima?? Jua lengo lake