Sehemu gani nzuri ya kuanzia maisha kati ya Dodoma na Babati?

Babati ndo best askwambie mtu
 
Dodoma ni kama ni jangwa kama Sinani. A babati ni canaani nchi ya maziwa na asali
 
Huku masaki na oystebay hamna madimbwi mkuu
 
Dodoma ni kama ni jangwa kama Sinani. A babati ni canaani nchi ya maziwa na asali
Acha kudanganya watu wewe kila mahala Kuna fulsa zake za kupata kitu, kwa kule Dodoma sasa hv mtaji ni watu, Kwa mtu mhangaikaji anaweza kufanya jambo kubwa tu, Kwa Babati ni uwe mkulima, sasa yeye anataka kua mkulima?? Jua lengo lake
 
Upo sahihi kwa biashara ya huduma akaweke dodoma ila kwa kilimo aende babati of course inategemea na nature ya biashara anayotaka. Population (consumers)ni mtaji pia katika biashara yetote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…