Sehemu gani nzuri ya kutulia kwa Morogoro?

Sehemu gani nzuri ya kutulia kwa Morogoro?

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Wakuu, Heshima zenu, nimetua leo Moro, Naomba nielekezeni sehemu bomba ya kutulia na kuenjoy maisha.
 
Morogoro Maeneo Tulivu Mengi Sana
Nakukumbusha Kama Una Jaribu Kupitia Viwanja Vya Adam Malima Pale Alipoibiwa SMG Yake Chumbani
Morogoro Mkoa Matata Sana, Viongozi Wanaujua 😀😂😃😄
Kesho Tukapige Kura Tuwachague Viongozi Wa Ccm
Wale Wengine Hawajui Kusoma Na Kuandika 🤔🤨😐😑😑
 
Huko siwezi kwenda.
Morogoro Maeneo Tulivu Mengi Sana
Nakukumbusha Kama Una Jaribu Kupitia Viwanja Vya Adam Malima Pale Alipoibiwa SMG Yake Chumbani
Morogoro Mkoa Matata Sana, Viongozi Wanaujua [emoji3][emoji23][emoji2][emoji1]
Kesho Tukapige Kura Tuwachague Viongozi Wa Ccm
Wale Wengine Hawajui Kusoma Na Kuandika [emoji848][emoji2955][emoji52][emoji58][emoji58]
 
Nenda SUASA club pale SUA main campus utapata na vimwana matata sana vya SUA. Ukishindwa basi nenda samaki samaki Kihonda, lakini hapa uwe mwangalifu na mfuko wako,
 
Back
Top Bottom